Hello Poetry
Submit your work and get some sparkles! Create free account
"lakini" poems
Hapa ndipo umenifikisha Umalenga na ujopo Wa kiingereza tulimudu lakini kiswahili kitamu **** la mama litamu Hata liwe la mbwa Kimombo kilaini majineno Kama mayai ya johari Kuangaza mitima halaiki Namshukuru Rabuka Kwa talanta ya kuandika Tukaumba kwa maneno Waumbaji nikawaunga Kama yeye Mungu, Nguvu za maneno kat'tunukia Uwezo wa karana hii Kuwateka akilizo Nyika na mito kuwavusha Hadi sayari za ndoto zao Uswahilini narudi mie Kitamu kwelikweli Nashukuru Maulana Kipaji nilipata Naye ataniauni Dau langu lifike kilindini Nitue kileleni Niangaze kama Zuhura Hapa ndipo nimefika Umalenga na ujopo N'taukumbatia milele Kwa Kiswahili na kimombo Mitima zao kusisimua.
0
Jan 6, 2016
Jan 6, 2016 at 8:03 AM UTC
Kiswahili Kirembo
Hii life ni ya kuhustle, alikuja kugundua that, ile night alijimess kwa disco hall, ma-hustlers kwake walikuwa ni masufferes, na yeye kivyake alikuwa mtu wamastarehe, Easy money without pain, na juu ya ignorance, hakutambua kuwa, no pain no gain, ama labda, aliogopa the pain ya kugain, legally according to the law of her body, juu alikuwa after easy money, na hakutambua kuwa hii pain ingetake long kuheal, Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu, Walijaribu kumfunza, wavyele kwa walimu, Lakini maneno yao yalienea kwa sikio la kufa ambalo mara nyingi halisikii dawa, Life yake ilikuwa surrounded na pressure from peers, Drugs alizimeza na kujipierce, Malimwengu walimfunza machungu na ma regrets, juu ya  mama aliyapuuza, Alijiona msupuu sana kuattract pesa, coz, si pesa huvutiwa na urembo, All in all,, urembo wake na kuremba kwake kulimlead to waste, na akawa waste, Alikuwa anafuatwa na wengi juu ya manukato, but sasa, anahave kufuatwa na nzi wengi juu ya shombo, Alicome back to her senses, ongezea ya sita, after kujimess hiyo night saa sita, Na juu alikuwa amejawa na ma regrets, pain ilikuwa more na too deep in her flesh, Akaanza kujifeel less fortunate, hakujua pakupata msaada, coz, alidis maarif wake ile time alijifeel high, so high ungedhani amepita limit ya sky, But one thing is for sure, angehave kuget back on her feet, a get from her seat, ya comfort zone, Akaamua kurudi to her first life, Aweke maringo na kuremba kwake, to her last line, Na her life her hustle, Aliamua kuchukua her hustle to the second line, Christ akiwa on the leading line.
0
May 24, 2019
May 24, 2019 at 8:19 AM UTC
Her pain, Her gain

Continue reading...
51
Mtu mweusi mweusi, katika mwezi mkali wa moto, ameketi katika kivuli cha mti wa Baobab. Majani yaliyomo mara moja walikuwa kavu na ukame, waathirika wa upepo wa mabadiliko. "Wazee, wananiita zamani." Alidhani, "Majira ya joto ya sabini yanigeuka kijivu, lakini mti huu wa Baobab ulikua mrefu na wenye nguvu Wakati majeshi ya Kirumi yalipitia njia hii. " Mzee huyo alitafuta matunda ya baobab na akaingia kwenye hali kama hali. Alikuwa katika hali ya akili; Sio usingizi, sio macho kabisa. Aliposikia sauti: "Nina kiu." Ilisema, Ingawa alikuwa na uhakika alikuwa peke yake. Ilionekana si sauti ya binadamu: monotone kavu ya ubongo. "Kwa vizazi, wanaume kama wewe Walitaka makazi yangu kutoka kwenye jua, Lakini sasa imekamilika; nchi imeharibika Na mimi nina kufa, mdogo. " Mtu mzee alilia kusikia maneno haya Kwa maana miti hizi zinapokufa, kama lazima, Wao huanguka juu ya ardhi yenye ubongo Hivyo haraka kurudi kwenye Vumbi. "Dunia imebadilika kwa wewe na mimi, Upepo ni kavu chini ya jua. Ninasamehe ulimwengu wa wanadamu Kwa maana hawajui waliyofanya. " Mtu mzee aliamka na mwanzo na akainua na miwa yake. Alilia kwa kufikiri mti huu utafa lakini machozi hawezi kuchukua nafasi ya mvua.
0
Jun 21, 2018
Jun 21, 2018 at 7:50 AM UTC
Mti wa Uzima
Je,ni jahannamu kwa nani Nakupenda hata wakati unaniumiza Tuli kuwa na kila mmoja Lakini tulipoteana Na sasa ninakutafuta Lakini hutaki kupatikana
0
Feb 4, 2019
Feb 4, 2019 at 2:53 PM UTC
Upendo ni kuzimu