Submit your work, meet writers and drop the ads. Become a member
PETTY POET Jun 2020
/NI LIFE/
Sometimes mi hu-wrong nikijaribu ku-correct,na mi si perfect so daily niko  kwa  risklt ya ku-loose vitu ata  nili-collect,so we skiza hii  tune,yeah ofcourse hii tune si  unajua mali safi zi huzinduliwa June.Pingu za maisha nishanunua shoneni vitenge juu nazifunga soon.

Samahani,back then kudish kwa sahani kwangu ilisound kifahari,world yangu ilikuwa so untrue na mauongo ki-kanyari,kupata kwangu then ilisound ka monkey kuonekana kalahari,nyi mkinyonga tai zangu nabaki ni  nyoka nanyonga,ni  saa  nane  usiku nikiexhaust my poetic pen igeuze words ziwe dishi,DJ akiscratch ilikuwa opportunity ya kuflow nayo  na mistari haziishi,mtaa 1960 ndio iliniwai courage ya kusimama mbele ya mahater nikiwashow hii mwaka haiishi meza moja na nyinyi tudishi.

Mi hu-acknoledge power ya sir God jo juu ya kuniblessia creativity tangu pre-unit,usitafte amani  bila unity certificate ya kugraduate from petty poet to plenty of poems nikailaminate na case ya glass,after kuchoma kuna wasee nilianza nao na siko nao  si  zao ziliwashow wako "high" class,hii  dunia ni ya God so ka unaplan downfall yangu jua success naiwai a thousand times plus.

Hii sanaa  mi hufanya si  rahisi,ata ka Nadia na kalikuwa kashaa tamba ilibidi ameitisha maombi,ka si Sunday siogi,mi nimezoea kula jasho yangu that's why unaskia nikiongea sh*t that is stinky.

So ukihustle na biz ya kuuza charcoal jua ***** hands zi hukuwa sign ya clean money,na since muka aende silent mi ndio nimekuwa nikiwasha nare kwa stage bila lyta,mi ndio nimekuwa nikijua mbona mapema ye hurauka.Hii time short nimekuwa hapa nilikuwa na blessings za mama no wonder sijastammer,ka nimekubamba scratch kwa tenje uniseti...stage ndio home na sijaplan kuhama.
-P€TT¥PO€T ✍️
©2020.
AWAIS HABIB Mar 2019
Tum kis apnayat ki baat krty **
Yahan to hr koe paraya sa lgta hai

Wo or zamana tha jb gulshan mai bahaar hoti thi
Ab to hr mosam khizaa sa lgta hai

Iss mai hamari ghaulti nahe k badal gy ham
Rukh badal lyta hai dill jb na ashnaa sa lgta hai

Roty huwy dil ko akhir kon pehchaan pyga
Bahir sy jo chehra, muskurata huwa sa lgta hai

Bughaz, gheebat k maary yahan log
Wajud andr sy khatm hota huwa sa lgta hai

Ary! Ye dukrhy han iss jahan k ay awais
Jahan sy tu ab rukhsatt hota huwa sa lgta hai

— The End —