Hello Poetry...
Classics
Words
Blog
F.A.Q.
About
Contact
Guidelines
© 2025 HePo
by
Eliot
Submit your work, meet writers and drop the ads.
Become a member
Words
hacks
hades
hadithi
hadnt
hadst
rahim
Mar 10
Hadithi
Leo mapema nikupe stori wa ubavu upate kucheka,
Na jioni sana upike mtori mashavu yapate kumeta,
koroboi mama tuvike nyavu na kagiza tupate kwa mkeka,
Hoi na uchovu mbwa koko nawai nyumbani nipate kubweka.
1
👉
Continue reading...
— The End —