Submit your work, meet writers and drop the ads. Become a member
Mar 2023
Lazima uchoose, dooh ama doze
Lazima uchoose, respect alarm ama uisnooze
Lazima uchoose, ujitume ama ulose
Lazima uchoose, ujibuild au *****

Izi ndo vitu hamtaki kuambiwa, izi ndo the truth
Mnataka niseme life ni smooth but Leo siwasooth
Sherehe Sheria ndio inamaliza mayouth
Ukilewa vuguru, Hadi hunaga matooth


Daily unadial pedi ukidai Mali
Jipende buda na for sure utafika mbali
Imagine ukiwa diani ukiorder wali
Si lazima buy iyo jumu expe ati ju ni Kali

Picha ya Kenyatta Kwa walanje ndo unafaa kusaka
Jipe goals Ka Sancho, salah au saka
Mulla mob, nine lives Ka paka
Usijitreat Ka trash we si takataka

But anyway maisha ni yako
Chaguo ni lako
Ntaachia apo ju naskia mtu Kwa mlango
Am sure ni peng Fulani utoka pango
Muiruri gathairu
Written by
Muiruri gathairu  26/M
(26/M)   
225
 
Please log in to view and add comments on poems