Hello Poetry
Submit your work and get some sparkles! Create free account
"lako" poems
NAKUSHUKURU Baba nakushukuru kwa kunipa uhai hata sasa, Nashukuru kwa kunisamehe na kunitakasa, Nashukuru kwa kuwa ulikufa kwa ajili yangu, Nashukuru kwani ulinibariki toka tumboni mwa mama yangu, Nashukuru unanipenda hata na mapungufu yangu, Nashukuru kwa kuwa unanilinda kutoka na kuingia kwangu, Lihimidiwe jina lako YEHOVA hakuna kama wewe, Mungu kwa kuwa hakuna kinachoweza kulinganishwa na upendo wako, Hakuna kinachoweza kulinganishwa na wema wako, Je ni mwanadamu gani awezaye kufa kwa ajili ya asimjua? Ni nani awezaye kukubali kuteseka kwa niaba ya yule amchukiaye? Ni nani awezaye kuuweka chini uhai wake kwa ajili ya adui yake?
0
Jun 26, 2014
Jun 26, 2014 at 6:07 AM UTC
NAKUSHUKURU
Ima li ime ta struna Koja stoji u mestu Ima li ime ptica Koja peva u letu Imas li ime ti mala zvezdo sjajna imas li ime ili je ono samo tajna? Kako se zoves zeljo jedina Nije li divno ime tvoje Kako se zove tajna skrivena Lica umiljatog sto je? Sta se krije u tvojim ocima Ima li negde tvoga imena Hajde, posluzi se svime Zeljo moja imas li ime? Jedan mig i tu Nestajes lako Kao u snu Jedan tren mi Bez nade tako Odes ti Kako se zoves zeljo jedina Nije li divno ime tvoje Kako se zove tajna skrivena Lica umiljatog sto je? Sta se krije u tvojim ocima Ima li negde tvoga imena Hajde, posluzi se svime Zeljo moja imas li ime?
0
Oct 8, 2014
Oct 8, 2014 at 12:31 PM UTC
Zeljo imas li ime?
Chini ya mnazi bandarini Kumbukumbu ndizo zilizobakia tu Kunizinguka akilini Huba lako kulikosa Yaumiza moyoni Upepo kutoka baharini Tulipoketi ukininong'onezea Sikioni kwamba ni mimi tu Kwamba utanipenda Tukichora zetu mchangani Aaah, nyakati za raha hizo! Ukaniliwaza mtima Tukapanga mipango ya milele Nabakia kutafuna utamu Wa kumbukumbu tu Chini ya mnazi bandarini Nikilemewa maradhi ya moyo Filamu ya huba letu akilini Tukicheza ufukoni Penzi ndio madini ninayokosa mwilini Kama kosa ni langu najuta Usinkwepe rejea nakwita Nitakuenzi nikutunze almasi Tulitwae tunda la penzi nawe Tulichovye buyu la asali Wengine waone kijicho Tupendane tena Chini ya mnazi bandarini
0
Jan 10, 2016
Jan 10, 2016 at 3:07 AM UTC
Rejea Mpenzi
Lazima uchoose, dooh ama doze Lazima uchoose, respect alarm ama uisnooze Lazima uchoose, ujitume ama ulose Lazima uchoose, ujibuild au ***** Izi ndo vitu hamtaki kuambiwa, izi ndo the truth Mnataka niseme life ni smooth but Leo siwasooth Sherehe Sheria ndio inamaliza mayouth Ukilewa vuguru, Hadi hunaga matooth Daily unadial pedi ukidai Mali Jipende buda na for sure utafika mbali Imagine ukiwa diani ukiorder wali Si lazima buy iyo jumu expe ati ju ni Kali Picha ya Kenyatta Kwa walanje ndo unafaa kusaka Jipe goals Ka Sancho, salah au saka Mulla mob, nine lives Ka paka Usijitreat Ka trash we si takataka But anyway maisha ni yako Chaguo ni lako Ntaachia apo ju naskia mtu Kwa mlango Am sure ni peng Fulani utoka pango
0
Mar 4, 2023
Mar 4, 2023 at 3:52 PM UTC
Chagua (choose)