Hello Poetry
Submit your work and get some sparkles! Create free account
"yangu" poems
NAKUSHUKURU Baba nakushukuru kwa kunipa uhai hata sasa, Nashukuru kwa kunisamehe na kunitakasa, Nashukuru kwa kuwa ulikufa kwa ajili yangu, Nashukuru kwani ulinibariki toka tumboni mwa mama yangu, Nashukuru unanipenda hata na mapungufu yangu, Nashukuru kwa kuwa unanilinda kutoka na kuingia kwangu, Lihimidiwe jina lako YEHOVA hakuna kama wewe, Mungu kwa kuwa hakuna kinachoweza kulinganishwa na upendo wako, Hakuna kinachoweza kulinganishwa na wema wako, Je ni mwanadamu gani awezaye kufa kwa ajili ya asimjua? Ni nani awezaye kukubali kuteseka kwa niaba ya yule amchukiaye? Ni nani awezaye kuuweka chini uhai wake kwa ajili ya adui yake?
0
Jun 26, 2014
Jun 26, 2014 at 6:07 AM UTC
NAKUSHUKURU
I. Ngozi yangu ni nyekundu Choka wanaochukua kama mfuo Bila ushunda na heshima Waichezea kama kikapu cha samaki I. My exotic melenated skin is dark Pasted with chalks that crease in mist The world that sails with no justice and politeness A sifted clan put in a basket like the unwanted fish II. Wainukia hii fedha, kwani sina mkopo Hizi ndamu nyekundu zalia pilipili Kwa uchungu umeomwangwa duniani Haya si maneno ya sifa wala ya hatari II. Don’t smell at this treasure, for I have no debt The bloods that pour in crimson and burn in hot pepper The pain streamed from faces, a tainted worldly existence Let these words not be seen as a praise and neither a threat III. Binadamu ulimwenguni wakifu Kama mfalme mwenye hana taji Umoja madada, pamoja makaka Mkono tushikane kwa usawa, mdogo mdogo III. Humanity is a concept weft from the universal strains in cobalt abstracts Lost in illusion like a king who is prided by invisible crowns Together sisters, brothers, daughters and sons Hold hands, spread the love in a united mesh, little by little
0
May 3, 2016
May 3, 2016 at 12:05 PM UTC
Mdogo Mdogo.... Little by Little (Translation with an additional audio)
Before uende tizi,usikule ndizi,that could make you feel uneasy,nowadays injili naspread bila bibles,the only player kwa hii game anacheza na bi-balls,hii si kujichocha ni vile skills nimeobtain kwa makocha,luku safi na maganji kwa toja,na hi I dunia ni ya sir God so kaa unategea downfall yangu my friend utangoja. Art inatoka kwa heart,PETTY POET is about to change ile narrative imekuwepo,my lines are full of flavour kaa ni diss unapokea kichapo,ni heri uko mnaeza kula vako,huku kumekauka kuliko kichwa ya babu owino,na Jana na Leo mayutt daily ni kilio,promises hamfulfill kisha kwa mbulu unabrag venye uko na spirit ya kuokolea,zote mauongo,I wish ningekuwa na kalamu ni-underline na rangi iliyokolea. Kama ni uhondo unatafuta songea,si kubrag ni course ya success nilisomea,daily nikiota nagrow ka mmea,kila mtu ana-views tofauti huwezi sikia nikikusemea,ukibehave abnormally tunakutreat normally,si wasapere pekee wanapenda mali ata mayoh utaskia wakisema no-mali, Hii time short nimespend apa nilikuwa na blessings za mama no wonder sijastammer,kama nimekubamba scratch kwa tenje uniseti stage name sijaplan kuhama. Follow PETTY POET on; YouTube;PETTY POET Instagram;POET_PETTY Twitter;@PETTY POET Facebook;https://www.facebook.com/105361811084811/posts/157686379185687/?app=fbl Writco.com;PETTY POET Mdundo.com;PETTY POET Whatsapp/tell;0781967348 Tell2;0713434887
0
Jul 15, 2020
Jul 15, 2020 at 6:43 PM UTC
Uneasy
Mtu mweusi mweusi, katika mwezi mkali wa moto, ameketi katika kivuli cha mti wa Baobab. Majani yaliyomo mara moja walikuwa kavu na ukame, waathirika wa upepo wa mabadiliko. "Wazee, wananiita zamani." Alidhani, "Majira ya joto ya sabini yanigeuka kijivu, lakini mti huu wa Baobab ulikua mrefu na wenye nguvu Wakati majeshi ya Kirumi yalipitia njia hii. " Mzee huyo alitafuta matunda ya baobab na akaingia kwenye hali kama hali. Alikuwa katika hali ya akili; Sio usingizi, sio macho kabisa. Aliposikia sauti: "Nina kiu." Ilisema, Ingawa alikuwa na uhakika alikuwa peke yake. Ilionekana si sauti ya binadamu: monotone kavu ya ubongo. "Kwa vizazi, wanaume kama wewe Walitaka makazi yangu kutoka kwenye jua, Lakini sasa imekamilika; nchi imeharibika Na mimi nina kufa, mdogo. " Mtu mzee alilia kusikia maneno haya Kwa maana miti hizi zinapokufa, kama lazima, Wao huanguka juu ya ardhi yenye ubongo Hivyo haraka kurudi kwenye Vumbi. "Dunia imebadilika kwa wewe na mimi, Upepo ni kavu chini ya jua. Ninasamehe ulimwengu wa wanadamu Kwa maana hawajui waliyofanya. " Mtu mzee aliamka na mwanzo na akainua na miwa yake. Alilia kwa kufikiri mti huu utafa lakini machozi hawezi kuchukua nafasi ya mvua.
0
Jun 21, 2018
Jun 21, 2018 at 7:50 AM UTC
Mti wa Uzima
/NI LIFE/ Sometimes mi hu-wrong nikijaribu ku-correct,na mi si perfect so daily niko kwa risklt ya ku-loose vitu ata nili-collect,so we skiza hii tune,yeah ofcourse hii tune si unajua mali safi zi huzinduliwa June.Pingu za maisha nishanunua shoneni vitenge juu nazifunga soon. Samahani,back then kudish kwa sahani kwangu ilisound kifahari,world yangu ilikuwa so untrue na mauongo ki-kanyari,kupata kwangu then ilisound ka monkey kuonekana kalahari,nyi mkinyonga tai zangu nabaki ni nyoka nanyonga,ni saa nane usiku nikiexhaust my poetic pen igeuze words ziwe dishi,DJ akiscratch ilikuwa opportunity ya kuflow nayo na mistari haziishi,mtaa 1960 ndio iliniwai courage ya kusimama mbele ya mahater nikiwashow hii mwaka haiishi meza moja na nyinyi tudishi. Mi hu-acknoledge power ya sir God jo juu ya kuniblessia creativity tangu pre-unit,usitafte amani bila unity certificate ya kugraduate from petty poet to plenty of poems nikailaminate na case ya glass,after kuchoma kuna wasee nilianza nao na siko nao si zao ziliwashow wako "high" class,hii dunia ni ya God so ka unaplan downfall yangu jua success naiwai a thousand times plus. Hii sanaa mi hufanya si rahisi,ata ka Nadia na kalikuwa kashaa tamba ilibidi ameitisha maombi,ka si Sunday siogi,mi nimezoea kula jasho yangu that's why unaskia nikiongea sh*t that is stinky. So ukihustle na biz ya kuuza charcoal jua ***** hands zi hukuwa sign ya clean money,na since muka aende silent mi ndio nimekuwa nikiwasha nare kwa stage bila lyta,mi ndio nimekuwa nikijua mbona mapema ye hurauka.Hii time short nimekuwa hapa nilikuwa na blessings za mama no wonder sijastammer,ka nimekubamba scratch kwa tenje uniseti...stage ndio home na sijaplan kuhama. -P€TT¥PO€T ✍️ ©2020.
0
Jun 18, 2020
Jun 18, 2020 at 3:12 AM UTC
/NI LIFE/

Continue reading...
8
Ungali futa subira tu Hali yangu mbaya imefanya umenikimbia Sina, hope, nilikuambia? mapenzi yakweli nilikupa sio kutania Marafiki wanakuulizia niwaambie nini ? Nimekuzoea siungelitulia. Alafu moyo unaujinga bado unakuhitaji
0
Aug 30, 2018
Aug 30, 2018 at 5:48 PM UTC
Subira