Hello Poetry
Submit your work and get some sparkles! Create free account
"meli" poems
Taifa haliwezi kuwa na maendeleo ikosekanapo hekima, Nchi haiwezi kuwa na chakula pasipo wakulima, Jamii haiwezi pata maendeleo pasipo kujituma, Siasa yetu leo ni ya kuwasha na kuzima, Maneno yasemwayo hayaingii akilini mwa mtu mzima, Madaraka wanajipatia na vyeo kwa lazima, Hawajali ya jana wala leo wanajali shibe yao, Wanalimbikiza mali kwa miradi ya wanao, Wanaikandamiza haki kwa kutumia elimu yao, Demokrasia imekuwa kinga yao dhidi ya ufisadi wao, Siasa imekuwa nyimbo tena zile za mwambao, Wakisemana kwa mafumbo wanajuana wao, Wanakaa majukwaani na makubwa yao matumbo, Mzee alisema fumbo mfumbie mjinga, Busara na hekima ni kumsikiliza anaye kupinga, Maana hoja zake zawezekana zikawa za kujenga, Utajuaje siri ya adui yako bila kumpenda, Kamwe huwezi kushinda mechi kwa kujua kupiga chenga, Kamwe huwezi kuwa na nguvu kwa kujitenga, Naomba tukazane nchi yetu kuijenga, Tukipamba na maadui maradhi umasikini na ujinga, Sio kuyasifia mema ili madhaifu kuyapamba, Ila ukweli kuusema bali tukitumia hekima, Ikosekanapo kamba huwezi teka maji yakisima, Ikosekanapo nanga huzamisha meli nzima, Kuwa na vingi si kuishi kwa kujinyima, Unapojenga msingi katu huwezi kurudi nyuma, Mkulima mzuri hutegemea mbivu kuzichuma, Yule aliye mvivu kamwe hawezi kujituma, Daima yeye aliye msikivu hujifunza na kuelewa, Ila Yule aliye mvivu hutegemea ngekewa, Wanasiasa hulalamika kana kwaamba wanaonewa, Ukweli ni kwamba wanatumia vibaya uhuru waliopewa, Daima taifa haliwezi endelea ikosekanapo hekima. © issai
0
Jun 26, 2014
Jun 26, 2014 at 6:04 AM UTC
HEKIMA

Continue reading...
35
Hiiiii....u knw what aaj ky hai.... aaj bhot special prsn ka bday hai... meli bestieee.... kaaa paglu ka bhot special tu duffr mere lyee... & chalo kuch meethi meethi yaade yaad dilata hu... apni.... yaaad hai jab humari fst tym baaat hui thi....wo cmnt k rply me ladai se hui thi startng ki pata tha itne impo ** jaynge ek dusre k lye fr wo humara din bhar choti choti si baat pr ladna manana fr draaame dikhana ki tu lunch ni kalega to b ni kalungi.... tu gannna ...tu gannniii hihihihihi bhot misss krta hu m bo ladaiyaaa punishment b inni pyali ki galti krne ka man kre .... school se aate hi beg rakhne se phle....mobile on krna... net on hone se phle whatsappp pr msz type krna.... agr ek mint b reply late hua to bawal ,machana... fr shaq wali nigaaho se dekhnaaa..... hihihi binna galti k es masssom bacheee se solly bulbana..... pure pure din baat krke b pet ni bharta tha deere deere baat krte krte special one bn gyi merelyee.... fr kisi se b baat ni kalta tha m muujhe aaj b yaad hai wo din 8/4/1999 mela bday gifttt maine tainu 1st tym dekha tha... hihihihi... apni yaari ese hi bni rahe hamesha.... bs yadi pray krni hai... mainu...rab se..... i love u my....bestieee...... happy bday tooo.....uuuuuuuu... ab bta babu ky gift chaahiye teko. .
0
Jan 9, 2018
Jan 9, 2018 at 4:22 AM UTC
Birthday gift