"maneno" poems
1.You're simply amazing that it becomes impossible to use complex words to truly portray your beauty since no amount of words in the world could ever define you.
2.Wewe ni ajabu tu kwamba inakuwa vigumu kutumia maneno tata kwa kweli kuonyesha uzuri wako tangu hakuna kiasi cha maneno katika dunia inaweza milele kufafanua wewe
3.Jy is net amazing dat dit onmoontlik komplekse woorde te gebruik om jou skoonheid werklik uitbeeld aangesien daar geen bedrag van woorde in die wêreld ooit kon jy definieer.
4. Vous êtes tout simplement incroyable qu'il devient impossible d'utiliser mots complexes à véritablement représenter votre beauté puisque aucune quantité de mots dans le monde ne pourrait jamais définir vous.
5. È semplicemente incredibile che rende impossibile utilizzare complesse parole per davvero rappresentare la tua bellezza poiché non quantità di parole nel mondo potrà mai definire .
6. es simplemente increíble que resulta imposible utilizar palabras complejas para verdaderamente retratar su belleza ya que ninguna cantidad de palabras en el mundo nunca te podría definir.
7. Είστε απλά καταπληκτική ώστε να καθίσταται αδύνατη η χρήση σύνθετων λέξεων με πραγματικά απεικονιστεί ομορφιάς σας δεδομένου ότι κανένα ποσό των λέξεων στον κόσμο θα μπορούσε να καθορίσει ποτέ σας.
So if words couldn't possibly be enough then perhaps if I write it in another language it would be enough, but unfortunately it isn't. Words no matter how I put them out its simply not enough.
You're Adored greatly,
You're simply Amazing.
And I thought you deserve to know.
Feb 3, 2015
Feb 3, 2015 at 8:54 AM UTC
Taifa haliwezi kuwa na maendeleo ikosekanapo hekima,
Nchi haiwezi kuwa na chakula pasipo wakulima,
Jamii haiwezi pata maendeleo pasipo kujituma,
Siasa yetu leo ni ya kuwasha na kuzima,
Maneno yasemwayo hayaingii akilini mwa mtu mzima,
Madaraka wanajipatia na vyeo kwa lazima,
Hawajali ya jana wala leo wanajali shibe yao,
Wanalimbikiza mali kwa miradi ya wanao,
Wanaikandamiza haki kwa kutumia elimu yao,
Demokrasia imekuwa kinga yao dhidi ya ufisadi wao,
Siasa imekuwa nyimbo tena zile za mwambao,
Wakisemana kwa mafumbo wanajuana wao,
Wanakaa majukwaani na makubwa yao matumbo,
Mzee alisema fumbo mfumbie mjinga,
Busara na hekima ni kumsikiliza anaye kupinga,
Maana hoja zake zawezekana zikawa za kujenga,
Utajuaje siri ya adui yako bila kumpenda,
Kamwe huwezi kushinda mechi kwa kujua kupiga chenga,
Kamwe huwezi kuwa na nguvu kwa kujitenga,
Naomba tukazane nchi yetu kuijenga,
Tukipamba na maadui maradhi umasikini na ujinga,
Sio kuyasifia mema ili madhaifu kuyapamba,
Ila ukweli kuusema bali tukitumia hekima,
Ikosekanapo kamba huwezi teka maji yakisima,
Ikosekanapo nanga huzamisha meli nzima,
Kuwa na vingi si kuishi kwa kujinyima,
Unapojenga msingi katu huwezi kurudi nyuma,
Mkulima mzuri hutegemea mbivu kuzichuma,
Yule aliye mvivu kamwe hawezi kujituma,
Daima yeye aliye msikivu hujifunza na kuelewa,
Ila Yule aliye mvivu hutegemea ngekewa,
Wanasiasa hulalamika kana kwaamba wanaonewa,
Ukweli ni kwamba wanatumia vibaya uhuru waliopewa,
Daima taifa haliwezi endelea ikosekanapo hekima.
© issai
Jun 26, 2014
Jun 26, 2014 at 6:04 AM UTC
Hapa ndipo umenifikisha
Umalenga na ujopo
Wa kiingereza tulimudu
lakini kiswahili kitamu
**** la mama litamu
Hata liwe la mbwa
Kimombo kilaini majineno
Kama mayai ya johari
Kuangaza mitima halaiki
Namshukuru Rabuka
Kwa talanta ya kuandika
Tukaumba kwa maneno
Waumbaji nikawaunga
Kama yeye Mungu,
Nguvu za maneno kat'tunukia
Uwezo wa karana hii
Kuwateka akilizo
Nyika na mito kuwavusha
Hadi sayari za ndoto zao
Uswahilini narudi mie
Kitamu kwelikweli
Nashukuru Maulana
Kipaji nilipata
Naye ataniauni
Dau langu lifike kilindini
Nitue kileleni
Niangaze kama Zuhura
Hapa ndipo nimefika
Umalenga na ujopo
N'taukumbatia milele
Kwa Kiswahili na kimombo
Mitima zao kusisimua.
Jan 6, 2016
Jan 6, 2016 at 8:03 AM UTC
Hii life ni ya kuhustle,
alikuja kugundua that,
ile night alijimess kwa disco hall,
ma-hustlers kwake walikuwa ni masufferes,
na yeye kivyake alikuwa mtu wamastarehe,
Easy money without pain,
na juu ya ignorance,
hakutambua kuwa,
no pain no gain,
ama labda,
aliogopa the pain ya kugain,
legally according to the law of her body,
juu alikuwa after easy money,
na hakutambua kuwa hii pain ingetake long kuheal,
Asiyesikia la mkuu,
huvunjika guu,
Walijaribu kumfunza,
wavyele kwa walimu,
Lakini maneno yao yalienea kwa sikio la kufa ambalo mara nyingi
halisikii dawa,
Life yake ilikuwa surrounded na pressure from peers,
Drugs alizimeza na kujipierce,
Malimwengu walimfunza machungu na ma regrets,
juu ya mama aliyapuuza,
Alijiona msupuu sana kuattract pesa,
coz, si pesa huvutiwa na urembo,
All in all,,
urembo wake na kuremba kwake kulimlead to waste,
na akawa waste,
Alikuwa anafuatwa na wengi juu ya manukato,
but sasa,
anahave kufuatwa na nzi wengi juu ya shombo,
Alicome back to her senses,
ongezea ya sita,
after kujimess hiyo night saa sita,
Na juu alikuwa amejawa na ma regrets,
pain ilikuwa more na too deep in her flesh,
Akaanza kujifeel less fortunate,
hakujua pakupata msaada,
coz,
alidis maarif wake ile time alijifeel high,
so high ungedhani amepita limit ya sky,
But one thing is for sure,
angehave kuget back on her feet, a get from her seat,
ya comfort zone,
Akaamua kurudi to her first life,
Aweke maringo na kuremba kwake,
to her last line,
Na her life her hustle,
Aliamua kuchukua her hustle to the second line,
Christ akiwa on the leading line.
May 24, 2019
May 24, 2019 at 8:19 AM UTC
I.
Ngozi yangu ni nyekundu
Choka wanaochukua kama mfuo
Bila ushunda na heshima
Waichezea kama kikapu cha samaki
I.
My exotic melenated skin is dark
Pasted with chalks that crease in mist
The world that sails with no justice and politeness
A sifted clan put in a basket like the unwanted fish
II.
Wainukia hii fedha, kwani sina mkopo
Hizi ndamu nyekundu zalia pilipili
Kwa uchungu umeomwangwa duniani
Haya si maneno ya sifa wala ya hatari
II.
Don’t smell at this treasure, for I have no debt
The bloods that pour in crimson and burn in hot pepper
The pain streamed from faces, a tainted worldly existence
Let these words not be seen as a praise and neither a threat
III.
Binadamu ulimwenguni wakifu
Kama mfalme mwenye hana taji
Umoja madada, pamoja makaka
Mkono tushikane kwa usawa, mdogo mdogo
III.
Humanity is a concept weft from the universal strains in cobalt abstracts
Lost in illusion like a king who is prided by invisible crowns
Together sisters, brothers, daughters and sons
Hold hands, spread the love in a united mesh, little by little
May 3, 2016
May 3, 2016 at 12:05 PM UTC
Mtu mweusi mweusi, katika mwezi mkali wa moto,
ameketi katika kivuli cha mti wa Baobab.
Majani yaliyomo mara moja
walikuwa kavu na ukame,
waathirika wa upepo wa mabadiliko.
"Wazee, wananiita zamani." Alidhani,
"Majira ya joto ya sabini yanigeuka kijivu,
lakini mti huu wa Baobab ulikua mrefu na wenye nguvu
Wakati majeshi ya Kirumi yalipitia njia hii. "
Mzee huyo alitafuta matunda ya baobab
na akaingia kwenye hali kama hali.
Alikuwa katika hali ya akili;
Sio usingizi, sio macho kabisa.
Aliposikia sauti: "Nina kiu." Ilisema,
Ingawa alikuwa na uhakika alikuwa peke yake.
Ilionekana si sauti ya binadamu:
monotone kavu ya ubongo.
"Kwa vizazi, wanaume kama wewe
Walitaka makazi yangu kutoka kwenye jua,
Lakini sasa imekamilika; nchi imeharibika
Na mimi nina kufa, mdogo. "
Mtu mzee alilia kusikia maneno haya
Kwa maana miti hizi zinapokufa, kama lazima,
Wao huanguka juu ya ardhi yenye ubongo
Hivyo haraka kurudi kwenye Vumbi.
"Dunia imebadilika kwa wewe na mimi,
Upepo ni kavu chini ya jua.
Ninasamehe ulimwengu wa wanadamu
Kwa maana hawajui waliyofanya. "
Mtu mzee aliamka na mwanzo
na akainua na miwa yake.
Alilia kwa kufikiri mti huu utafa
lakini machozi hawezi kuchukua nafasi ya mvua.
Jun 21, 2018
Jun 21, 2018 at 7:50 AM UTC
ANG'O MOMIYO PINY MABOR? Agoyo erokamano Ne Nyasaye mosewara kuom tuoche,dhier kod masira.Kendo daher mar goyo erokamano gi chunya duto ne ji duto mosebedo ka konya kendo tala e yore mag rieko gi ngima.Ndikoni en achiel kuom weche masetemo mondo andik ne joherana kendo ji duto ma puonjore yore ngima kowuok kuom weche ma andiko . Nitiere ndalo moro mane asandora malit bang' akweda modhuro ,kendo ndalo mang'eny asetemo wuok kuom mibadhi gi masira go. Omiyo ne aneno kit dhano kane chandruok omako chunya,chandruok mar manyo rieko.Ji mangeny ne oweya kagiwacho ni gik matimo ok kare,ji matin ahinya emane obedo piny mondo owinj gimane chando chunya.Jogo duto agoyonegi erokamano. Omiyo kane andiko gigi chunya ne gombo mondo ji duto oyud rieko kawuok gi gik ma awacho gi. Ji mang'eny temo mondo oyud gik piny gi yore ma ok ber,an agoyo erokamano ne ruodha kuom taya e ler ka adimbora mondo abed ng'ato ma an kawuono. Andiko wechegi mondo uyud ler kowuok kuom puonjo madieri.Piny ka ok nyal res gi muma inyalo rese gi thum gi ndiko.Omiyo akao kinde mondo andik weche maneno ,ka pogo oganda e pinyka. An ajaote.Kik igoya lero nikech apogora gi mibadhi gi miriambo.Ruaka uru e chunyu,kendo ukao kinde uwinj weche matemo pimo. Ne Ji duto marito ndiko ma asebedo kandiko ndalo mane apondo e **** dhano,beduru mana gi kwe nikech chunya nikodu machiegni,aherou. -Synopsia mar Piny Mabor,Budding Dirt. "As an artist, I feel that we must try many things - but above all, we must dare to fail. You must have the courage to be bad - to be willing to risk everything to really express it all."-Budding Dirt My mind is a sea of monarch butterflies. That flutter, all hella haphazard and disordered. As delicate as rice paper. And impatient. No matter how I chase them. I cannot catch them. Because while I’m clomping through the brush, swinging a net and crushing the seedlings, they are dancing from flower to flower, unperturbed by my pursuit. Flittering in the sun like the skittish memory of a dream in the light of day'-Budding Dirt
Oct 23, 2017
Oct 23, 2017 at 1:35 AM UTC
Sikiliza kinda zikitoa wimbo
maneno yanao tendeleza
kwa kiloho and pia dhamila
Mpenzi tazama hapo tulisimama
kumbuka upendo ulioshangaza
hapakuwa na mipaka yoyote
Nakuamkia tena mpenzi
kati ya mawe ya sali
tena asubuhi na mapema
Sikiliza mawimbi yakituliza
yakisema maneno matamu
yanao tembeza na amusha
Translation
Ohh hear the chick sing a melody
tuned with tender words
those that soothe the heart and mind
At the ledge where we stand
remember the magical remnants
without a face or a boundary
I wake up to you my love
in the midst of an unknown matrix
as the early sun rises
Ohh hear the waves calm the day
saying sweet and lovely words
of tales that stares and awakens
Aug 13, 2018
Aug 13, 2018 at 6:51 AM UTC