Hello Poetry
Submit your work and get some sparkles! Create free account
"lazima" poems
Taifa haliwezi kuwa na maendeleo ikosekanapo hekima, Nchi haiwezi kuwa na chakula pasipo wakulima, Jamii haiwezi pata maendeleo pasipo kujituma, Siasa yetu leo ni ya kuwasha na kuzima, Maneno yasemwayo hayaingii akilini mwa mtu mzima, Madaraka wanajipatia na vyeo kwa lazima, Hawajali ya jana wala leo wanajali shibe yao, Wanalimbikiza mali kwa miradi ya wanao, Wanaikandamiza haki kwa kutumia elimu yao, Demokrasia imekuwa kinga yao dhidi ya ufisadi wao, Siasa imekuwa nyimbo tena zile za mwambao, Wakisemana kwa mafumbo wanajuana wao, Wanakaa majukwaani na makubwa yao matumbo, Mzee alisema fumbo mfumbie mjinga, Busara na hekima ni kumsikiliza anaye kupinga, Maana hoja zake zawezekana zikawa za kujenga, Utajuaje siri ya adui yako bila kumpenda, Kamwe huwezi kushinda mechi kwa kujua kupiga chenga, Kamwe huwezi kuwa na nguvu kwa kujitenga, Naomba tukazane nchi yetu kuijenga, Tukipamba na maadui maradhi umasikini na ujinga, Sio kuyasifia mema ili madhaifu kuyapamba, Ila ukweli kuusema bali tukitumia hekima, Ikosekanapo kamba huwezi teka maji yakisima, Ikosekanapo nanga huzamisha meli nzima, Kuwa na vingi si kuishi kwa kujinyima, Unapojenga msingi katu huwezi kurudi nyuma, Mkulima mzuri hutegemea mbivu kuzichuma, Yule aliye mvivu kamwe hawezi kujituma, Daima yeye aliye msikivu hujifunza na kuelewa, Ila Yule aliye mvivu hutegemea ngekewa, Wanasiasa hulalamika kana kwaamba wanaonewa, Ukweli ni kwamba wanatumia vibaya uhuru waliopewa, Daima taifa haliwezi endelea ikosekanapo hekima. © issai
0
Jun 26, 2014
Jun 26, 2014 at 6:04 AM UTC
HEKIMA

Continue reading...
35
Mtu mweusi mweusi, katika mwezi mkali wa moto, ameketi katika kivuli cha mti wa Baobab. Majani yaliyomo mara moja walikuwa kavu na ukame, waathirika wa upepo wa mabadiliko. "Wazee, wananiita zamani." Alidhani, "Majira ya joto ya sabini yanigeuka kijivu, lakini mti huu wa Baobab ulikua mrefu na wenye nguvu Wakati majeshi ya Kirumi yalipitia njia hii. " Mzee huyo alitafuta matunda ya baobab na akaingia kwenye hali kama hali. Alikuwa katika hali ya akili; Sio usingizi, sio macho kabisa. Aliposikia sauti: "Nina kiu." Ilisema, Ingawa alikuwa na uhakika alikuwa peke yake. Ilionekana si sauti ya binadamu: monotone kavu ya ubongo. "Kwa vizazi, wanaume kama wewe Walitaka makazi yangu kutoka kwenye jua, Lakini sasa imekamilika; nchi imeharibika Na mimi nina kufa, mdogo. " Mtu mzee alilia kusikia maneno haya Kwa maana miti hizi zinapokufa, kama lazima, Wao huanguka juu ya ardhi yenye ubongo Hivyo haraka kurudi kwenye Vumbi. "Dunia imebadilika kwa wewe na mimi, Upepo ni kavu chini ya jua. Ninasamehe ulimwengu wa wanadamu Kwa maana hawajui waliyofanya. " Mtu mzee aliamka na mwanzo na akainua na miwa yake. Alilia kwa kufikiri mti huu utafa lakini machozi hawezi kuchukua nafasi ya mvua.
0
Jun 21, 2018
Jun 21, 2018 at 7:50 AM UTC
Mti wa Uzima
Lazima uchoose, dooh ama doze Lazima uchoose, respect alarm ama uisnooze Lazima uchoose, ujitume ama ulose Lazima uchoose, ujibuild au ***** Izi ndo vitu hamtaki kuambiwa, izi ndo the truth Mnataka niseme life ni smooth but Leo siwasooth Sherehe Sheria ndio inamaliza mayouth Ukilewa vuguru, Hadi hunaga matooth Daily unadial pedi ukidai Mali Jipende buda na for sure utafika mbali Imagine ukiwa diani ukiorder wali Si lazima buy iyo jumu expe ati ju ni Kali Picha ya Kenyatta Kwa walanje ndo unafaa kusaka Jipe goals Ka Sancho, salah au saka Mulla mob, nine lives Ka paka Usijitreat Ka trash we si takataka But anyway maisha ni yako Chaguo ni lako Ntaachia apo ju naskia mtu Kwa mlango Am sure ni peng Fulani utoka pango
0
Mar 4, 2023
Mar 4, 2023 at 3:52 PM UTC
Chagua (choose)